Saturday, May 2, 2009

Kibaha, Marian wang'ara form six

SHULE za sekondari za Kibaha, na Marian zote za mkoani Pwani 'zinatisha'
Shule ya Kibaha imekuwa ya tatu kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu, na mwanafunzi bora kitaifa, AUDEN KILEO, ametoka katika shule hiyo iliyopo wilayani Kibaha.
Shule ya Marian iliyopo Bagamoyo imekuwa ya pili kitaifa, na mwanafunzi bora wa kike, SOPHIA NAHOZA, katoka shuleni hapo.
Shuleya sekondari ya Wasichana Kibosho ndiyo ya kwanza kitaifa.

No comments:

Post a Comment