MAHAKAMA Kuu ya Gauteng jijini Johannesburg Afrika Kusini imewatia hatiani watu watatu waliokuwa wameshitakiwa kwa kumuua mwanamuziki nyota wa nyimbo za raggae, Lucky Dube
Jaji Seun Moshidi jana alimaliza kusoma hukumu iliyoandikwa katika kurasa 140, alianza kuisoma Ijumaa iliyopita.
Waliopatikana na hatia ya kumuua Dube Oktoba 2007 ni Sfiso Mhlanga, Ludwe Gxowa na Mbuti Mabe, wanasubiri hukumu.
Baada ya kutiwa hatiani, Mhlanga na Mabe walijaribu kutoroka katika rumande ya mahakama hiyo, polisi wakawazidi nguvu.

No comments:
Post a Comment