KUNA mdau kanitumia huu ujumbe kuhusu ajali ya Chenge,
Kama bajaji zaweza kumaliza gari hivi basi bajaji zinatisha.Kwa upande wangu sikubaliani kwamba bajaji ina material ngumu kuweza kubonyeza gari hivi.
Labda kutokana na mtikisiko wa gari ilikwenda kugonga mti au kitu kingine chochote. Bajaji inaweza kweli kugonga gari na kuharibu hivi? Mimi nataka kujaribu kati ya tax na bajaji.
Hivi wanabidii hiyo ajali mnaielewa kweli?
Inasemekana Chenge alikuwa anatokea upande wa St. Peters kwenda Morogoro Store,Bajaji ilikuwa inatokea Morogoro Store, kwahiyo walikuwa wanakutana kwa usoni,Sasa iweje gari ya Chenge imebonyea upande wa kushoto na zaidi ya hiyo, iweje amemgonga kwa nyuma?
Na kwa material ya bajaj ni vigumu kuwa imesababisha madhara kama yale kwenye bodi ya gari
kama hilux afu kwenye boneti la gari ambako ni juu mno ya gari ukichukulia ukubwa wa bajaj,au
kuna gari la tatu ambalo halitajwi ktk tukio hili???????
Na kuna maelezo kuwa chenge alikuwa anfahamiana na mmoja wa marehemu na kwa mujibu wa mama wa marehemu, Chenge alikuwa akiwa mwanza hata kama Yule dada alikuwa off alikuwa anamuita [kumbuka dada alikuwa anafanya kazi mwanza hotel upande wa kasino]
Kama kuna mheshimiwa mjumbe ana majibu ya maswali haya tafadhali saidia

Utata mtupu.
ReplyDeleteSijui kwa nini ninaona kiza nikisoma hii habari.
Kwa bahari mbaya nawakumbuka 'visa vya albino' na habari za 'kunyunyiziwa unga bungeni'.
Tanzania imejaa mauzauza matupu na hatuendelei kokote kwa mtindo huu!