MSHITAKIWA wa 11 katika kesi inayomkabili Abdallah Zombe na wenzake, Rashid Lema amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Lema ameacha kitendawili kwamba ni nani muhusika mkuu wa mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva wa teksi, waliuawa kwa kupigwa risasi mwaka 2006.
Kesi ya mauaji hayo inaendelea Mahakama Kuu Tanzania.

No comments:
Post a Comment