Wednesday, April 22, 2009

Na wenyewe wanaweza



Aksante Subi kwa hiyo picha nzuri ya mambo ya zero distance.
Sasa sijaelewa, wananong'onezana, wanapigana busu au wanacheza bluzi?

1 comment:

  1. Wanapeana busu hao DaChemi kakwambia (picha yake hiyo). Huenda wanatizama sana Tv na kuiga mambo ya binadamu, natumai hawataiga na kucharazana risasi.

    ReplyDelete