Wednesday, April 22, 2009

Ma first ladies wa Afrika Marekani








Mke wa Rais wa Zambia, Thandiwe Banda




Mke wa Rais wa Lesotho, Mathato Sarah Mosisili

Mke wa Mswati wa Swaziland, Malkia Inkhosikati lambikiza



Mke wa Rais wa Cameroon, Chantal Biya




Mke wa Rais wa Namibia, Penehupifo Pohamba

APRILI 20-21 wake 14 wa marais wa Afrika walikutana jijini Los Angeles Marekani kuzungumzia changamoto mbalimbali za afya zinazolikabili bara hili ukiwamo ukimwi.


Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Salma alihudhuria mkutano huo.
Aksante Subi kwa picha hizo, nimesoma comments kwenye blog yako wadau wanasifia kifaa cha Mswati, si mchezo.


Lakini kwa nini wakakutanie Marekani? kwanini wasingekutana Afrika?

1 comment:

  1. ha ha haa Basil, huyo mke wa Mswati mtachapwa mikuki msipojizatiti na picha ya mkewe, hata akiwa nao 11 bado ni mkewe, shauri lenu mi ntakuwa nawacheka tu mkipokea kichapo kiMnaliMnali kutoka kwa Mfalme Mswati wa tatu.

    ReplyDelete