Thursday, April 23, 2009

Mke wa Rais Biya kiboko


Mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sarah Brown akiwa na Chantal Biya


Chantal katika pozi na mwanamitindo


Sarah Brown na Chantal Biya

Hapo je?

MKE wa Rais wa Cameroon, Paul Biya, Chantal alikuwa kivutio kwenye mkutano wa wake wa marais wa Afrika uliofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.
Hizo nywele duh, ya yap yap, ebwana eeh, si mchezo hata wanamitindo walizi-admire na wakapiga naye picha.



No comments:

Post a Comment