Thursday, April 23, 2009

Spika wa Bunge amkandamiza Dk Slaa

MUDA mfupi uliopita wabunge wa Bunge la Tanzania wamemzomea Dk Wilbroad Slaa bungeni wakati Spika aliposema alipomtambulisha kwa cheo chke cha mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa.
Wabunge walizomea hadi spika wa Bunge, Samuel Sitta aliwataka wabunge watulie.
Baada ya wabunge kutulia Spika alisema anaelewa kwa nini hali ilikuwa hivyo, na akasema harakati za Dk Slaa ni za upotoshaji.

No comments:

Post a Comment