Tuesday, April 21, 2009

Tyson kajiachia


Tyson enzi hizo


Tyson wa sasa

ALIYEKUWA bondia maarufu duniani, Mike 'Iron' Tyson kaachia mwili, kawa bonge.com
Alitamba kwenye ndondi katika miaka ya 90, aliacha kuzichapa ulingoni Juni 2005.

1 comment:

  1. Uliposema aliyekuwa Bondia maarufu, nikadhani amekufa.

    ReplyDelete