BENEDICT Mutungirehi amefukuzwa katika chama cha Tanzania Labour(TLP)
Uamuzi huo ameutangaza aliyekuwa mpinzani wake katika nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema.
Mrema amesema Halmashauri Kuu ya TLP imemfukuza Mutungirehi katika chama hicho kwa kuwa amewadharau wajumbe wa NEC na alitoa kauli za kashfa alipotuhumiwa kuleta mpasuko ndani ya chama hicho.
Mutungirehi amepinga uamuzi huo na amekiri kutamka kwamba Mrema ataondoka TLP akiwa kwenye jeneza.

No comments:
Post a Comment