WANAFUNZI wanne waliofukuzwa katika shule iliyopo Afrika Kusini inayomilikiwa na mtangazaji nyota wa vipindi vya mahojiano, Oprah Winfrey wamesema walitengwa na wenzao kwa wiki mbili ikiwa ni pamoja na kuzuiwa kuzungumza nao.
Wasichana hao waliokuwa wakisoma katika shule ya wasichana iitwayo Oprah WinfreyLeadership Academy wamefukuzwa shule baada ya kubainika kuwa waliwalazimisha wanafunzi wenzao wafanye nao mapenzi.
Wamesema, uongozi wa shule uliwatenga na wenzao kwa muda huo ndipo ukawafukuza, wenzao watatu wamesimamishwa shule.
Wamelieleza gazeti la The Star la Capetown kwamba kulikuwa na walinzi nje ya vyumba vyao, hawakuruhusiwa kuingia madarasani, walipelekewa vyakula vyumbani na hawakuruhusiwa kula na wenzao na walilala vyumba tofauti na wenzao.

No comments:
Post a Comment