Wednesday, March 4, 2009

Wema Sepetu rumande
MISS Tanzania mwaka 2007, Wema Sepetu(20) jana alionja adha ya rumande baada ya kushindwa kutoa sh 500,000 kujidhamini na pia kuwa na wadhamini wawili.

Msichana huyo ambaye kila mara amekuwa akihusishwa na kashfa za mapenzi anakabiliwa na shitaka la kuhusika kuvunja kioo cha gari la anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake, muigizaji maarufu nchini, Stephen Kanumba.

Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam inamtuhumu Wema na mwenzake, Asha Jumbe(23) kuwa walifanya kosa hilo saa tatu usiku Januari 29 mwaka huu, Magomeni Dar es Salaam.

7 comments:

 1. u are so cute ladie love your style lol

  ReplyDelete
 2. WEMA you are so cute ladie ongera kwa mpenzi wako dada, amechaguwa mpenzi kabisa.
  I like your style lol.♥ ♥
  ♥ ♥
  ♥ ♥

  ReplyDelete
 3. i like your face na tabasamu lako baby says rebekitha

  ReplyDelete
 4. YU ARE SO BAETUFUL ,ILOVE YU SO MUCH

  ReplyDelete
 5. so cute baby Love yaaah! Rommy

  ReplyDelete
 6. u so beautiful sister wema would u come visit us here in america please?

  ReplyDelete