Tuesday, March 31, 2009

Ni kweli kuna limbwata?

KUNa mdau kanitumia ujumbe huu anaomba michango yenu

Nasikia kuna dawa ambayo wanawake wanawalisha waume zao kwa lengo la kuwatawala inaitwa Limbwata.

Nimeelezwa kwamba baada ya mwanaume kula limbwata anakuwa ZUZU, kila analoambiwa na mkewe anatekeleza, hivi ni kweli?

Naomba kufahamu kama ni kweli kuna dawa inaitwa limbwata au ni kitu cha kufikirika tu. kama kweli ipo ni dawa ya vidonge au maji? Mume akimpa mkewe inakuwaje?

1 comment:

  1. ipo me huwa nakula kila siku
    ni ya maji maji na matamkweli
    unataka? nipigie simu mmi mtaalamu wa hii kitu tokea sumbawanga

    ukiitaj kuniona njoo masenze saa nane usiku na simu yako unyanyue mkono juu for 3min nitakufuata

    ReplyDelete