Mtaalamu wa IT: Mambo Binti!
Mwanafunzi wa IT : Poa tu.
Mtaalamu wa IT: Unajua kuwa penzi langu lina GB kubwa sana kwako, mpenzi nataka ni INSTALL moyo wangu kwenye CPU ya nafsi yako.
Naomba u'DOUBLE CLICK kwenye maisha yako niwe SOFTWARE moyoni mwako, maisha yako hayatokuwa hatarini UKWELI ndio ANTI-VIRUS tosha.
Kama huniamini twende ANGAZA tukaji SCAN-VIRUS nakuhakikishia hutakuta hata COOKIES au MALWARE yoyeto yule kwenye HARD DISC yangu. I am LINUX.
No comments:
Post a Comment