Monday, February 9, 2009

Kamua bibi!






Bi Kidude akiwa kazini studio.


Wajukuu zake, Mzee Yusuf na Khadija wapo juu katika muziki wa Taarab.


Muziki wa taarabu unazidi kushika kasi, ukienda kwenye maeneo mengi ya burudani kama vile baa nyimbo hizo 'zinawakamata' sana wateja na mara nyingi wamekuwa wakiomba zirudiwe.



Si hivyo tu, licha ya kupigwa kwenye vipindi vya kawaida, radio nyingi Tanzania na pia vituo vya televisheni wana vipindi maalum vya 'mambo ya pwani' a.k.a vidole juu

No comments:

Post a Comment