Thursday, October 2, 2014

Waraka wa Maaskofu

“Ninao waraka wa baadhi ya maaskofu uliolazimishwa kusomwa katika makanisa. Wanataka Rais arudishe Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wanalazimisha Rais avunje Bunge Maalumu la Katiba. Mimi ni Mkristo sioni utukufu wa Mungu katika hili. 

“Tangu lini maaskofu wakatoa maagizo ya kisiasa? Hata lugha waliyotumia ni ile tuliyoizoea ya ki Ukawa (kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi), kama wataendelea hivi, nitaendelea kuwadharau,” 

Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta

No comments:

Post a Comment