“Kama tunawaamini walimu … itakuwa maajabu na mapungufu makubwa kudhani 
kuwa hawana haja ya kushiriki katika kuzungumzia maslahi yao. Walimu ni 
waelewa sana na wakishirikishwa hawana matatizo makubwa katika 
kujadiliana namna ya kutoka kwenye tatizo au angalau kupunguza makali ya
 tatizo au matatizo husika. Kuna matatizo mengine utatuzi wake ni mgumu 
lakini mengi yanayokera zaidi yana uvumbuzi unaowezekana,” 
Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye 
 
 
No comments:
Post a Comment