Friday, October 10, 2014

'Mzalendo wa kweli hawezi kufanya uovu'

“Mtu aliyepata elimu bora na kuwa mzalendo wa kweli hawezi kufanya vitendo viovu kwa nchi yake … kijana au mtu aliyepata elimu bora hatutarajii kuwa atashiriki kupokea rushwa ili atoe huduma, hatutarajii atafisadi mali ya umma au kushiriki katika maovu yoyote dhidi wetu,”

Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye

No comments:

Post a Comment