Wednesday, October 8, 2014

INASIKITISHA: Askari mwanamke ajlipua kuua ISIS

 
Askari mwanamke,Deilar Kanj Khamis, amekuwa mwanajeshi wa kwanza kujitoa mhanga kwa kujilipua kwa bomu katika mapambano yanayoendelea kati ya wapiganaji Wakurdi na ISIS katika mji wa Kobane uliopo katika mpaka wa Syria na Uturuki.
 
Mama huyo wa watoto wawili amejilipua katika eneo walipo ISIS na alifanya hivyo wakati wapiganaji hao walipokuwa wanamfuata, akajifanya anajisalimisha, akajilipua na kuua magaidi 10

 Soma hapo chini 


Kurdhish fighter, Deilar Kanj Khamis, is the first female to carry out a suicide bomb attack against ISIS. 
 
She blew herself up at an IS position east of the border town of Kobane,as ISIS approached and her fellow fighters took to their heels.
 
She waited for them to approach and pretended to surrender before blowing herself up, killing ten jihadists.
 
She left behind her two kids

No comments:

Post a Comment