Friday, September 5, 2014

Vijana 'udongo' hatari

“Sasa wakishaona wanabaguliwa, wananyimwa fursa kadha, kwa mfano vijana katika suala la ajira, hapo huwa rahisi kupenyeza mbegu mbaya inayochangia kuua uzalendo, na badala yake kushiriki katika matukio yenye sura za kigaidi. 

“Hawa huwa sawa na ardhi yenye rutuba ambayo husubiri mpandaji tu, sasa huyu mpandaji ni hao wenye ushawishi wa kuwaingia vijana kwenye makundi ya kigaidi na mengine yenye misimamo mikali ya kisiasa na kidini pia,” 

Rais Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment