Friday, September 5, 2014

Ebola hatari

“Tangu Aprili mwaka huu mlipuko wa ugonjwa huu ulipoanza hadi leo, tayari wagonjwa 3,500 wameambukizwa na wengine 1,900 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa huu, huu ni ugonjwa hatari sana,”

 “Napenda nisisitize kuwa sisi mpaka sasa hakuna mtu aliyepatikana na ugonjwa huo, kulikuwa na watu wanne walioshukiwa kuwa na maambukizi wawili wakitokea Dar es Salaam, mmoja Geita na mwingine Nkasi, lakini baada ya vipimo walionekana kuwa na malaria tu,”

Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment