Friday, August 8, 2014

Wasaliti Ukawa kukiona

“ Msimamo wa Ukawa ni kuwa wajumbe wanaotoka Ukawa kutoshiriki vikao vya Bunge au kamati mpaka hapo tutakaporidhiana, na mpaka sasa hilo halijafanyika.

Kutoa maelekezo ni jambo moja na kutekeleza ni jambo jingine, hivyo mjumbe atakayeshiriki vikao vya Bunge au Kamati, atakuwa ameshindwa kutekeleza agizo la chama, hivyo litakuwa ni suala la chama na atashughulikiwa kwa taratibu za chama,” 

Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe

No comments:

Post a Comment