Friday, August 8, 2014

Mpasuko Ukawa

“Bunge Maalumu la Katiba limeundwa kwa mujibu wa sheria, ambayo sote tulishiriki kuiandaa, ambayo inasema kutakuwa na makundi matatu, ambayo ni wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na wateule 201 wa Rais kutoka makundi mbalimbali ya kijamii. 

“Hivyo mimi ni Mbunge wa Mpanda Kati, naingia kwa mujibu wa Katiba, nina haki kisheria kuwakilisha wananchi wangu, vyama visitake kupora mamlaka ya wananchi waliotutuma,” 

Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi.

No comments:

Post a Comment