Wednesday, August 6, 2014

Tanzania tajiri inawezekana

“Nitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Watanzania na nchi yao, wananufaika kutokana na mapato ya rasilimali kutokana na gesi asilia. 

Nataka na natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi masikini.

Rasilimali ya gesi inatoa nafasi na fursa kubwa kwa nchi yetu kuondokana na umasikini. Mimi nimeongoza nchi masikini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri,”

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment