Monday, August 4, 2014

Serikali tatu

“Suala la Serikali tatu au mbili tulishamaliza, tunakwenda kuzungumza mambo ya msingi yanayohusu jamii, tunakwenda kuzungumzia haki za wanawake, uchumi wa nchi unavyoendeshwa, hivyo Ukawa waje tujadili vifungu vilivyobaki," 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira

No comments:

Post a Comment