Monday, August 4, 2014

Bunge - Ukawa

“Ukawa wasipofika bungeni hatutasitisha Bunge, tuliopo tunatosha, tutajadilina na kufikia makubaliano na kuja kuwaeleza wananchi ingawa haitakuwa na afya sana,” 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi.

No comments:

Post a Comment