Saturday, July 12, 2014

Nukuu ya leo

"Tajiri kuwa na madeni ni kawaida. Nchi zote tajiri au watu wote matajiri wanadaiwa, hivyo sio kitu cha kushangaza, isitoshe unapokuwa unadaiwa ndipo unapokuwa na akili ya kutafuta pesa,” 

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.

No comments:

Post a Comment