Saturday, June 7, 2014

'Viroba ni janga la Kitaifa'

“Ebu angalieni hili suala jamani, hivi viroba vimetapakaa kila mahali… hata katika maduka yanayouza chakula ni kwa nini yanaruhusiwa kuuza bidhaa hiyo,” 

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene .

No comments:

Post a Comment