“Mheshimiwa Spika tunaitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu
kutafuta vifaa vya kisasa vya kufanya ukaguzi wa abiria na mizigo na
kuacha tabia ya kutupapasa mwilini...hii si tabia nzuri hata kidogo,”
Mwanajuma Faki Mdachi, Mwakilishi wa Viti Maalumu kwa
tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF).
No comments:
Post a Comment