Thursday, June 12, 2014

'Masikini wasitengwe CCM'

“Maisha magumu sasa hivi, wapo wanaoipenda CCM lakini hawana hela tusiwatenge, wenzetu wanatoa hizo kadi bure kwa hiyo hakuna haja ya kufukuza wanachama,” 

 MWENYEKITI  wa  Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Sophia Simba.

No comments:

Post a Comment