Thursday, June 12, 2014

Mabomu Mwanza

Jeshi la Polisi Jijini Mwanza jana June 11, 2014,asubuhi walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wadogo  maarufu  kama  machinga waliokuwa wakipinga kuondolewa katika eneo la Kempu na eneo la soko la Makoroboi jijini Mwanza.

 

 Picha zote kwa hisani ya blog ya mwanawamakonda


No comments:

Post a Comment