Mwanamke anayesubiri kunyongwa kwa sababu ya kung'ang'ania ukristu amejifungua mtoto wa kike akiwa jela mjini Khartoun nchini Sudan.
Meriam Ibrahim (27) amehukumiwa kuchapwa viboko 100 na kunyongwa kwa kuwa ameolewa na Mkristu na amekataa kuwa Muislam.
Baba mzazi wa mama huyo ni Muislam, mama wa Meriam ni Mkristu, wazazi wake walitengana wakati akiwa na umri wa miaka sita, akalelewa katika familia ya kikristu, ana amefunga ndoa kanisani Desemba mwaka 2011
Soma hapo chini
A doctor who is facing execution in Sudan for marrying a Christian gave birth to a baby girl in prison today.
Meriam Ibrahim, who has spent the past four months shackled to the floor in a disease-ridden jail, gave birth five days early.
The baby was born in the hospital wing at Omdurman Federal Women’s Prison in North Khartoum and is said to be healthy.
Speaking
exclusively to MailOnline, her lawyer Mohaned Mustafa Elnour said:
'This is some good news in what has been a terrible ordeal for Meriam.
'I am planning to visit her with her husband Daniel later today. I think they are going to call the baby Maya.’
No comments:
Post a Comment