Tuesday, April 15, 2014

Mke wa Rais akimbia km 42 kuokoa wanawake, watoto


Picha zote na ofisi ya Mke wa Rais wa Kenya

Mke wa Rais wa Kenya, Margaret Kenyatta juzi alikimbia umbali wa km 42 jijini London Uingereza katika juhudi zake za kukusanya fedha kwa ajili ya kuokoa wanawake wa watoto nchini Kenya. 

Rais Kenyatta, mama mzazi wa Rais huyo, mama Ngina na wanafamilia wa kiongozi huyo walikuwepo jijini humo kumpokea Margaret na kumpokea.

No comments:

Post a Comment