Sunday, April 13, 2014

Mfano wa kuigwa

ruto selfie 
Juu- Naibu Rais wa Kenya, William Ruto akipiga picha na Mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe kwa kutumia simu ya mkononi. 

Hivi karibuni Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alifanya hivyo hivyo baada ya mahojiano na mtangazaji huyo (Picha ya chini). 

Rais Kenyatta na Naibu wake wameonesha mfano mzuri wa kuigwa kwamba, ingawa wao ni viongozi wakuu wa nchi, lakini ni wanadamu wa kawaida na wameamua kuondoa ukiritimba na vikwazo visivyo vya lazima vinavyowatenga na wananchi wa kawaida.

Hongera sana Rais na Naibu wako.

Soma hapo chini
 
After posing for a selfie with the president, Jacque Maribe can now boast of having taken selfies with two of the most powerful men in the country.

 Deputy president, William Ruto, was not being left behind in the selfie craze, which has taken over the Kenyan political scene.

It started with Machakos governor, Dr Alfred Mutua, who took one with British Ambassador to Kenya and now the president and his deputy have followed suit. 

This is in an effort to embrace digitalization of the government and letting loose the rigidity associated with the top statesmen.

Nairobiwire
jacky-Uhurus-selfie

No comments:

Post a Comment