Thursday, April 24, 2014

Akusanya SIDIRIA 5,000 za wanafunzi vyuo vikuu

 Katika hali isiyo ya kawaida, mwanaume nchini China amekusanya sidiria 5,000 kwa miaka 20 kwa lengo la kutengeneza makumbusho ya mavazi hayo ya wanawake.
Kwa mujibu wa Chen Qingzu, sidiria hizo amezipata kwa wanafunzi wa zaidi ya vyuo vikuu 30 nchini humo lakini hajasema alizipataje.
 Soma hapo chini
A man in Sanya, Hainan province has collected some 5,000 bras over 20 years, China News Service reported on Tuesday.
Man collects 5,000 bras in 20 years

Chen Qingzu hangs different types of bras on the walls and ceiling of his small home. 
 He said he collected the bras from female students at more than 30 universities and colleges, but did not say how he obtained them.
Chen said his dream is to build a bra museum with his collection.
china.org

No comments:

Post a Comment