
Mgombea
wa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu
Hassan

Mgombea
wa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Amina
Abdallah Amour.



Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Samia Suluhu Hassan kurudisha fomu.



Katibu
wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah akipokea fomu ya ugombea nafasi ya
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Amina Abdallah Amour akisindikizwa kurudisha fomu.

Picha zote kwa hisani ya blog ya DJ Sek

No comments:
Post a Comment