Saturday, February 15, 2014

Wassira, Januari nao wahojiwa

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza kuhojiwa mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa Habari  baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Stephen Wassira akifurahia jambo na kada maarufu wa CCM, Adam Soud
 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House baada ya kuhojiwa.
 Naibu Waziri wa Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa.
 
Picha zote na blog za mikoa

No comments:

Post a Comment