“Kwa mujibu wa sheria hiyo, wafanyakazi wa ndani
walioajiriwa na watu wasio wafanyakazi wa serikali na ambao hawaishi na waajiri
wao kwa saa atalipwa Sh 410, kwa siku Sh 3,077, kwa wiki Sh 18, 463, kwa nusu
mwezi Sh 36,925 na kwa mwezi mfanyakazi
wa nyumbani anastahili kulipwa Sh 80,000”.
Mwakilishi wa Ofisa Kazi Mkoa wa Mwanza, Mohamedi
Majaliwa.
No comments:
Post a Comment