Tuesday, July 2, 2013

Rais Barack Obama Ikulu Dar es Salaam

Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa shangwe Ikulu,Jijini Dar es Salaam
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakipokewa kwa shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es Salaam
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakizungumza na waandishi wahabari Ikulu,Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimpa maelezo Rais Barack Obama kuhusu mti wa mpingo kabla ya kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Obama akipanda mti wa mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Issa Michuzi,IKULU.

No comments:

Post a Comment