Monday, February 4, 2013

Wabunge bungeni Dodoma

 Mbunge wa Mbeya Mjini
Joseph Mbilinyi akichangia hoja bungeni.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (kushoto) na  Mbunge wa Mafia
Abdulkarim Shah
wakibadilishana
mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.

Mbunge wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia kuunga mkono hoja
ya Mbunge wa  Nzega  Dkt Hamis Kigwangala ya kuitaka Serikali
ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa
Mikopo ya Vijana.

PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO JUMAA- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment