Saturday, February 2, 2013

Lori laua watu 5, 130 wajeruhiwa


MOJA YA MTOTO MAJERUHI AKIHAMISHWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA MISION CHIMALA NA KUPELEKWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
MOJA YA MAJERUHI AKISUBIRI KUPATA MATIBABU
HILI NDILO ROLI WALIMOPANDA VIBARUA HAO WA SHAMBA LA KAPUNGA

Huyu mtoto naye amenusurika
HUYU BINTI NI MWANAFUNZI NAE ALIKUWEPO KWENYE AJALI HIYO 

MKUU WA MKOA MBEYA ABBAS KANDORO AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

HAWA WOTE NI WANAFUNZI WALIKUWA WANAENDA KUFANYA KIBARUA CHA KULIMA KWA MWEKEZAJI KATIKA SHAMBA HILO LA KAPUNGA


Picha zote kwa hisani ya blog ya Mbeya Yetu

1 comment:

  1. Hellο to all, how is all, І think evегy оnе
    is gеttіng morе from this web ρage, and your vieωs аrе fastidiоus in ѕuρροrt of new viеwеrs.
    Review my website :: Basketball Program

    ReplyDelete