.
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani na nje ya nchi cha Ubungo, jijini
Dar es Salaam, leo alfajiri umeanguka na kuyaharibu vibaya magari zaidi
ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi
Kinondoni, Charles Kenyela amesema, idadi ya magari yaliyoangukiwa yanakadiriwa kufikia 24.














No comments:
Post a Comment