Msanii
wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akishuka kutoka katika gari
lililompeleka Mahakama Kuu kukamilisha taratibu za kupata
dhamana.
Lulu akiingia Mahakamani
Lulu akiingia mahakamani huku akitabasamu.
Lulu akiwa amezungukwa na baadhi ya waandishi wa habari
Lulu akiangua kilio baada ya kushindwa kuongea na waandishi wa habari
Lulu akitoka katika lango Kuu la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kupata dhamana.
Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyuma akifuatiwa na mama yake mzazi.
Lulu akiondoka mahakama hapo.
Wakili anayemtetea Lulu akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi
baada ya mteja wake kupata dhamana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam, leo.
Lulu amepata dhamana baada ya kutimiza
masharti ya kuwa na wadhamini wawili ambao ni watumishi wa serikali
waliosaini bondi ya Sh.milioni 20 kila mmoja, kuwasilisha hati ya
kusafiria, kutotoka nje ya Dar es Salaam bila ruhusa ya mahakama na
kuripoti kwa Msajili wa Mahakama kila mwezi.
Picha zote kwa hisani ya francisdande.blogspot.com
Picha zote kwa hisani ya francisdande.blogspot.com
No comments:
Post a Comment