Tuesday, January 29, 2013

Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema

 Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willbroad Slaa (kulia) wakati wa Kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Mbunge Kigoma, Kabwe Zitto akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa kikao cha dharura cha Baraza Kuu la Chadema kutoka mkoa wa Mtwara.
 Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa amepozi na baadhi ya wajumbe.
 Baadahi ya wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao hicho.

 Kazi imeanza
 Muasisi wa Chadema, Edwin Mtei akiingia katika ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe.
 Wajumbe wa mkutano.
 Katibu Mkuu Dk. Willbroad Slaa akizungumza katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifungua mkutano huo
 Wajumbe wa Kamati Kuu.
  Picha zote na Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment