 |
| Kwa mujibu wa walioshuhudia ajali hiyo, huyo jamaa
ambae jina lake halikupatikana alikuwa anaendesha pikipiki, askari Polisi ya kikosi cha Usalama Barabarani wanaoendesha
pikipiki wakamsukuma, jamaa baada ya kuangushwa trafiki hao mmoja alikuja
kumuangalia alipoona jamaa analalamika kwa maumivu akaamua kutimka. |
 |
| Mwenzake kuona mambo magumu kaamua kugeuza pikipiki yao ili watimke |
 |
| Jamaa huyoo anaondoka |
 |
| Majeruhi anasaidiwa na wasamaria wema kumpeleka hospitali |
Kwa hisani ya blog ya Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment