| Basi dogo la abiri aina ya Toyota Hiece baada ya kugongwa na lori kwenye kituo cha njia panda itende jijini Mbeya katika barabara kuu iendayo Tunduma |
| Basi lingine dogo aina ya Toyota Hiece linalofanya safari zake kati ya Sokomatola na Iyunga nalo liligongwa na lori hilo aina ya Leyland Daff. |
Mabaki ya Toyota Hiece
| Lori lililogonga Hiace zote mbili |
| Moja wa mashuhuda wa ajali hiyo akiwasimulia waandishi wa habari jinsi ajali ilivyotokea. Picha kwa hisani ya Blog ya Mbeya Yetu |
No comments:
Post a Comment