Thursday, November 29, 2012

Walivyomzika Sharo Milionea


Mwili wa Marehemu ukiswaliwa kabla ya kwenda kuzikwa.


 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele


 
Mama mzazi wa Sharo Millionea akilia kwa Uchungu
 
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa pole  Zaina Mkieli, Mama wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya na filamu, Hussein Ramadhani maarufu kwa jina la Sharo Milionea, alipokiwakilisha Chama Cha Mapinduzi kwenye mazishi ya msanii huyo, leo kwenye Kijiji cha  Lusanga, Muheza Tanga.


Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa 




Muigizaji Maarufu hapa nchini,Mzee Athuman Amri a.k.a King Majuto akiweka mchanga kaburini
Wamepanda mnazi kuona mazishi ya Msanii Sharo Milionea katika kijiji cha Lusanga,Muheza Mkoani Tanga.
Waombolezaji wakimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu msibani.


Picha kwa hisani ya blog ya Free Bongo,Tanga Yetu, Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment