Thursday, November 29, 2012

Huyu Polisi vipi?


Kijana huyo aliyevaa sare za Jeshi la Polisi Tanzania anaandika chini kwa kutumia kidole, hatuweza kufahamu alikuwa anaandika nini katika barabara hiyo ya Mbeya Peak kwenda Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. 
Aliandika hapo chini kwa takribani dakika tano, hatukuweza kupata namba zake au jina lake.   
Kainuka na kutumia kiatu kufuta maandishi hayo
.Kutoka Blog ya Mbeya yetu kwa hisani ya Joachim Nyambo.



No comments:

Post a Comment