Tuesday, October 9, 2012

Wanaowania U-Miss Tanzania 2012 walivyokaribishwa Monduli



Dada wa Mbunge wa jimbo la Monduli, Kalaine Lowassa akiwavisha warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, mgolole wa kimasai wakati warembo hao walipoandaliwa tafrija maalum ya kuwakaribisha katika mji wa Monduli.
Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge w Monduli, Regina Lowasa.
Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo


 Robert Lowassa nae alivishwa mgolole kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kufanikisha warembo hao kufika Monduli
 Viongozi wa kamati ya Miss Tanzania

Mke wa aliyekuwa Waziri Mkuu , Regina Lowassa akicheza muziki wa Kwaito na warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. 
Mke wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa , Regina Lowasa na mtoto wao, Robert Lowassa 'Bob" wakicheza muziki wa Kwaito na warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli mkoani Arusha. 
 Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Kwa hisani ya blog ya Lukaza

1 comment:

  1. Whаt's up i am kavin, its my first occasion to commenting anywhere, when i read this piece of writing i thought i could also make comment due to this good post.
    Also visit my weblog ... payday uk

    ReplyDelete