| Kaimu
 Mwenyekiti  wa Umoja wa Vijana wa CCM, Benno Malisa  akizungumza na Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete. 
 
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Kikwete akifungua mkutano huo 
 
 
 
 
 
 
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela akitoa utaratibu kabla ya kuanza uchaguzi mkuu wa jumuiya hiyo mjini Dodoma. 
 Mwenyekiti wa CCM,
 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mwakilishi kutoka chama 
tawala cha  Zimbabwe Chipanga Kudzanai, kutambua mchango wa chama hicho 
kwa CCM, wakati wa Mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM 
(UVCCM) mjini Dodoma. 
Katibu
 wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicharaza gitaa  la besi na 
bendi ya Vijana Jazz, wakati wa Mkutano Mkuu wa nane wa UVCCM kwenye 
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma. 
 |  |  |  | 
No comments:
Post a Comment